interview EWURA

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
180
Mwenye taarifa kama walishaita zile za mwezi wa saba 2013
 
Dah hata me niliappy ujue, wanajamvi mwenye taarifa atujuze....
 
Mmmmmh... Kumbe tupo wengi aiseee!!!!!! Ndo ajira za serikali zilivyo, unaweza kuitwa baada ya mwaka. Ila sijasikia kama wameita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…