Interview Eastern Zone NMB

Interview Eastern Zone NMB

mti mnene

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
515
Reaction score
1,278
habarini wana jamvi, nmb eastern zone wameanza kuita watu kwenye interview. kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu interview za nmb naomba anijuze.
 
Eti mkuu., we wamekutajia na sehem ama wamekupa tu taarifa ya kujiandaa?
 
wamenitajia kiongozi, wamesema kwenye ukumbi wa hilux hotel. vp wewe?

Vp wewe unazoefu wa bank,nataka kujua vgezo vyao haswa vya kuita.Mimi nasubiri watakapo tangaza za Southern, maana nilijua tu interview itakua hukohuko Moro.
 
Vp wewe unazoefu wa bank,nataka kujua vgezo vyao haswa vya kuita.Mimi nasubiri watakapo tangaza za Southern, maana nilijua tu interview itakua hukohuko Moro.

sina uzoefu kaka, ila kucertify vyei ni lazima mkuu. southern ukimaanisha mtwara?
 
Jaman kwan wanaitaga kwa awamu., mbona me nimeambiwa tu ila cjatajiwa kama nyie
 
Yan labda alikua ameghafirika wkt amenipigia., kasema nitakua mmoja wapo kati ya watakaoenda kwenye interview yao ya nmb., bas. Labda tulipitiwa sote wkt tunaongea. Nambie trh nami nije hyo hyo
 
Me pia nimeitwa lakini sina habari ya kinachofanyika kwenye interview zao
 
Habar za jioni wakuu, wadau kuna mtu yeyote ambaye amepigiwa simu na NMB kwa zile post za kanda ya Pwani coz kuna jamaa yangu mmoja amepigiwa leo. Nawakilisha wakuu.
 
Nilienda pale Nmb morogoro Kuna HR manager Mpya kama mpemba fulani, jamaa wanamsifu yupo fair sana na hana tamaa.
 
Mti mnene jana niliwapigia ile asubuhi., wakaniambia niende hyo kesho hapo hapo hilux hotel saa mbili asubuh., bila kusahau vyeti, picha moja, na kalamu
 
Mbona eastern zone wamepiga., tena kesho watu wanaenda kuminyika
 
Back
Top Bottom