Interview CBE - Jan 02, 2016

EHK

Member
May 19, 2011
73
96
Wadau nauliza.. kuna mtu alifanya interview CBE tar 02 ameitwa kwa oral?.. mana jamaa walisema matokeo wanatoa leo kwenye official website yao lakini kimya mpaka mda huu
 
Mbona matokeo yameshatoka mkuu,nipe namba ako nikuchekie
 
sory namaanisha hayo majina ya waloenda kufanya interview tar 2 yaliwekwa wap au walipiga cmu??
 
m
Wadau nauliza.. kuna mtu alifanya interview CBE tar 02 ameitwa kwa oral?.. mana jamaa walisema matokeo wanatoa leo kwenye official website yao lakini kimya mpaka mda huu
mkuu hizo post walitangaza wenyewe cbe au zilitangazwa na utumishi?
 
Back
Top Bottom