Mmmh! hawa watu bwana sijui walikuwa wanatest watu,maana kuna muda hata ile link yao muda fulani ilikuwa iko valid lakini baadae kidogo ikawa invalid,sasa sijui hata wale watu waliofanikiwa kutuma application zao kabla ya invalidation ya ile link wameitwa au la.