Interview Afisa utamaduni

Maswali mchanganyiko utakutana nayo hata ya hesabu. Yaan hio unaenda kufanya aptitude test. Yanayo husu kozi Yako utakuta machache sana.
 
Scenario questions yenye majibu yanayofanana sana yametofautiana kidogo sana so yalihitaji kutumia muda mwingi kusoma na kuelewa swali, swali la grammar likikuepo pia, swali la hesabu pia na computer
Ukiona mtihani mgumu basi probability ya kufaulu ni kubwa, kuliko zile unakuta rahisi kiasi wanakatia 90%. Bora hizi hata ukifikisha 50-60% unakua walau una probability ya kuitwa oral/practical.
 
Huyo Kyaga kama sio yeye vile ambaye mlikuwa mnapambana wote uzi wa ajira, hapo kabla hajalamba asali πŸ˜…
Ameshajipata sio πŸ˜‚
Ila labla amesema hvy kutoka na uzoefu alioupata huko
 
Ameshajipata sio πŸ˜‚
Ila labla amesema hvy kutoka na uzoefu alioupata huko
Ana comment za hovyo huyo jamaa πŸ˜…πŸ˜…

Halafu yeye anadeal na wanaoleta mada zinazohusiana na suala la ajira tu πŸ˜…
 
nina swali mfano taasisi wametoa position nyingi za kazi na watu wamefanya tayari oral mwezi 3 lakni katika position hizo kuna position moja bado hawajafanyiwa interview na Latiba wamepangiwa mwezi wa 6.je pdf la kuitwa kazini kwa hawa ambao washafanya interview je linatoka hadi huyu amalize au linaweza kutoka mda wowote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…