Interracial marriage/interracial sexual relationship

usihangaike nae mkuu....tumpe muda...
Join Date : 4th August 2014


tehteh...anadai ''Less words more actions'' akisahau kwamba...'' a picture is worthy thousands words''
daah tyta nakuaminia kwa kuwakata watu maini.sijui kama atarudi na maada za kizushi...
 
Mi nawagegeda mpaka nawakimbia sasa.....nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kihindi..wako wengi kweli. Unachotakiwa ni uwe mwenye viroja na kujiamini. Ila sio wa kuoa.
 
Mkuu ni kweli kuna mifano michache sana ya ndoa kati ya Wahindi na Waswahili.

Swali la kujiuliza; ni kwa nini iwe hivyo wakati na wao wanajiita Watanzania?!

Kwa nini watake usawa kwenye mambo mengine yote lakini kwenye ndoa wajitenge?!

Umeshawahi kumuona Muhindi mwanajeshi? Au Polisi?
 
Umeshawahi kumuona Muhindi mwanajeshi? Au Polisi?

Hahahaha nimecheka sana. Nilikuwa sijawahi kuwaza hili!

Mkuu huko hawaendi maana wanajiona wao ni raia daraja la kwanza! Si unaona hata waliozaliwa hapa wanajidai hawawezi kuongea Kiswahili fasaha...!
 
Mkuu Dr Riwa ahsante kwa maelezo yako mazuri.Naomba kutpfautiana na wewe kidogo kwanza huo mfano wa Muhimbili sidhani kama unaweza kuonyesha hali halisi jinsi ilivyo huku uraiani.Hiyo ndoa baina ya mswahili na mhindi imekaa kisomi somi zaidi.Ukweli ni kwamba hawa jamaa ni wabaguzi sijawahi kuona nimeona mara nyingi wahindi wakigundua una mahusiano na vijana wako tayari hata kumwamisha,kumtenga au kumtoa uhai.

Kati ya mambo niliyomkubali Karume ni kukamata na kuvioa vibinti vya kihindi.Mtu mwingine ni Idd Amin ni kuwatimua wahindi Uganda.Labda kuna jambo lingine ambalo waTanzania wengi hawalijui kuhusu hii jamii ya kihindi hata katika masuala ya kibiashara wanaweka upendeleo kwa wafanyabisahara wa kihindi zaidi.Mfano kampuni ya Associate Supplies & Nas Tyres ni kampuni zinazomilikiwa na wahindi ambazo ni wakala wa matairi aina mabli mbali bei wanazotoa kwa kampuni za waswahili ni kubwa zaidi kuliko bei wazotoa kwa wahindi wenzao matokeo yake wahindi wanatawala soko la matiri hasa huku mikoani.Hii ni bidhaa moja ukienda kwenye bidhaa nyingine utakuta mambo ni hayo hayo.

Leo hii unashangaa kwanini wahindi ambao wako chini ya asilimia 1 wanamiliki uchumi wa Tanzania kwa kati ya 60 % - 65%

Sioni kama ni sahihi kutaja majina ya watu kwa mambo binafsi kama 'intermarriage'...lakini yupo Daktari mTanzania mweusi ameoa mHindi, alimaliza Muhimbili miaka ya mwanzoni mwa 2000, na bado wako ndoani mpaka sasa!
 
Last edited by a moderator:
Zingatia zile point 4 zitakusaidia sana ndani ya hii forum..
 
"Binafsi toka nizaliwe na kukua hadi sasa sijawahi kusikia muhindi [indian] ameoana na Mtanzania yoyote"
Siamini kuwa sentensi fupi na ya wazi kiasi hiki kuna watu wanahitaji ufafanuzi kujua hapa anazungumziwa Mhindi wa Tanzania na Mswahili wa-Tanzania.
Kibaya zaidi, Watu mapovu yanawatoka kung'ang'ania kuwa wana haki ya kuwajumuisha Wahindi na Washwahili(Weusi) wa ughaibuni.
Kama ubongo wako unakushawishi kuamini kuwa upo sawa katika hili, Una tatizo la uelewa.
Kifupi-HUJUI KUWA HUJUI.


Unapokuwa hujui kuwa hujui ni TATIZO.
 
Mbuyu ulianza kama mchicha!

Criticism without fact and research mtatufanya tushindwe kushangaa.

Ila mada imechangamka kweli, nisogeze kiti nijionee thinema ya bure.
 
watu kwa ujuaji bana, ni wapi ulishaona binti wa kiindi kaoleawa na mbongo, tuache ujuaji , mtoa uzi yupo sahihi kabiasa

wapo wengi tu hata wale mafundi wa volvo wa buguruni(ambao ni wahindi) wake zao woote ni waswahili kapsaaa tena wazaramo wa uzaramuni ila jamaa wametengwa makwao.
 
INDIANS THEY CAME HERE TO BUILD RAILWAY,AND NOW THE RAILWAY IS FINISHED,THEY MUST GO BACK TO INDIA.
AFRICA IS FOR AFRICANS BLACK AFRICANS:angry::angry::angry::mvutaji:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…