sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 800
Uzingatie zile point nne na ujifunze heshima na kuheshimu watu, especially watu ambao huwajui.grow up mr/ms. id..everything will be okay...
wewe mwenye heshima usingesema hivi..hapa ndipo ulipojifanya much know(usijitoe ufahamu)Stop that na ujifunze(mjifinze) kuheshimu kila mtu(kuheshimiana)
Unagoogle picha za ughaibuni, embu soma mada
kama hili la kuona post yangu na kunibash ''embu nisome mada'' ni umuch know kupita kiasi...why only you not others?.kama hili la kuona id mpya na kuanza kumbash mtu muache kabisa ni utoto.
Uzingatie zile point nne na ujifunze heshima na kuheshimu watu, kuheshimu watu especialy ambao uwajui..
Uzingatie zile point nne na ujifunze heshima na kuheshimu watu, kuheshimu watu especialy ambao uwajui..
That is discussion nimukwmbia usiweke picha za ughibuni..soma uzi unasema tz..ungeweka picha za tanzania maana uzi umesema tanzania..tukaenda sawa.. Mwisho unakuja kutafuta tarehe nmejiunga lini..ili nini ..? Na kuanza kusema huyu mgeni..! Ili nini mkuu..!? Kwani ugeni ni nini..!? Why me coz mimi sivumilii mambo ya kitoto, mimi nipo mda mrefu sana hapa naonaga hizi bashing mnazofanyia watu wenye id mpya na watu wengine mkishindwa kuargue mnakimbilia ukongwe wa jf ..so what kama ni mkogwe..! Na wengine mnakimbilia personal attack kama ulivyoenda kutafuta uzi wangu na kuanza kutabiri umri wangu.(what is that..?!)..ujifunze kuheshimu kila mtu jf na ujue watu hapa wapo aina ya watu tofauti tofauti na kutoka kila mahali..wewe mwenye heshima usingesema hivi..hapa ndipo ulipojifanya much know(usijitoe ufahamu)
kama hili la kuona post yangu na kunibash ''embu nisome mada'' ni umuch know kupita kiasi...why only you not others?
i posted pics never criticised anyone ...u signature tells it all ''less words more actions''...;;did nt you know a pic speaks thousands words??"
why chosen to bash my pics??
kitu pink, njawahi labda nimchopoke zombie?
Umefanya wapi hiyo sensa kuona hakuna mswahili kaoa mhindi? Aub wahindi wa tz wako upanga tu?
Mwabuki kuna mmoja kaoa mhindi tena kuchi kuchi hotahe orijino.
Mwisho wa macho kuona ni pale uwezo wa kuona unapoishia...but there is beyond the scope
Mkuu ni kweli kuna mifano michache sana ya ndoa kati ya Wahindi na Waswahili.
Swali la kujiuliza; ni kwa nini iwe hivyo wakati na wao wanajiita Watanzania?!
Kwa nini watake usawa kwenye mambo mengine yote lakini kwenye ndoa wajitenge?!
dude,grow up mentally and think beyond the scope.....''i said a million times-a pic is worthy thousands words''...sikusema pic za watanzaniathat is discussion nimukwmbia usiweke picha za ughibuni..soma uzi unasema tz..ungeweka picha za tanzania maana uzi umesema tanzania..tukaenda sawa.. Mwisho unakuja kutafuta tarehe nmejiunga lini..ili nini ..? Na kuanza kusema huyu mgeni..! Ili nini mkuu..!? Kwani ugeni ni nini..!? Why me coz mimi sivumilii mambo ya kitoto, mimi nipo mda mrefu sana hapa naonaga hizi bashing mnazofanyia watu wenye id mpya na watu wengine mkishindwa kuargue mnakimbilia ukongwe wa jf ..so what kama ni mkogwe..! Na wengine mnakimbilia personal attack kama ulivyoenda kutafuta uzi wangu na kuanza kutabiri umri wangu.(what is that..?!)..ujifunze kuheshimu kila mtu jf na ujue watu hapa wapo aina ya watu tofauti tofauti na kutoka kila mahali..