Acha ushamba wewe, join date inamaanisha nini, unajua nipo jf tangu lini..! ? Unajaua nina id ngapi..? Unaijua id yangu ya zamani, acha ujuaji wa kitoto wewe. Nina uzoefu kuliko hata wewe hapa jf..
Hiyo avatar tu ni mzaramo wa msanga.
Siwezi kujibu swali eti mtanzania ni nani..? Wewe hujui mtanzania ni nani..? Nmekuambia usome mada kwasababu mwenye uzi kasema tanzania wewe umeenda kucopy picha google ambazo sio za watanzania..(hapo sijui huelewi nini hapo mbona simple tu)kwa kuwa huelewi ungefyata ama kuuliza na si kujifanya mjuvi wa kuniambia nisome mada...
nimekuuliza kwako mtanzania ni nani unabwabwaja tu...
huelewi unachoongea...nitajie ni kabila gani tanzania hii watu wake wameoa watu wa jamii nyingine wengi kuliko wao wenyewe....''dont be easy to pick and blame''
Nina uzoefu kuliko hata wewe hapa jf..
Kwa kweli kuna mademu wengine hawaeleweki kabisa, ivi inakuaje unamtongoza demu anakukatalia halafu unahamia kwa rafiki yake na rafiki yake anakupa tick na vema juu, halafu yule aliyekataa anaanza kuunguza picha?
balehe inakusumbua ...ukikomaa utajua....Hii inasababishwa na nini, kama umekataa si upige kimya tu.
..fyata na uache kukurupukaSiwezi kujibu swali eti mtanzania ni nani..? Wewe hujui mtanzania ni nani..?
usingeconclude hisia zako katiak dhamira ya hizi picha wala tusingefika huku.....]Nmekuambia usome mada kwasababu mwenye uzi kasema tanzania wewe umeenda kucopy picha google ambazo sio za watanzania..(hapo sijui huelewi nini hapo mbona simple tu)
ndio maana nakwambia usikurupe kujifanya mjuvi..Mtoa mada kaongelea wahindi, tena wa tanzania,
2. Kuna rafiki yangu anasoma india ana mahusiano na binti wa kihindi na lengo lake ni amuoe, mimi nilimpa precaution kuwa kama anataka kuwa marehemu mtarajiwa atakaye jua chanzo cha kifo chake ajaribu kufanya hivyo.
..na ungetambua wa kwako usingekurupuka......anyway tonatofautiana uelewa wa mambo kwa hiyo sishangai
Nani kakwambia ni ujanja, na ni nani anakuja jf kutongoza wewe..wewe vipi wewe..! Hujui kwamba kuna sababu zaidi ya mia za mtu kibadili id au unajia hiyo ya kutongoza, tatizo huku tunachukiliana poa sana wakat mwingine.kuwa na multiple id ni ujanja kwako...kuwa na jinsia ya kike/id ya utapeli/kula ban kwa hoja hafifu kama zako/za kutongozea unaona wewe ni mjanja!!!lahaula jf inapotea.....yaani unajifaragua kuwa na ina ngapi...eti za zamani.....nyie ndio mamods wanawaendekeza,,,,,,pathetic
..fyata na uache kukurupuka
usingeconclude hisia zako katiak dhamira ya hizi picha wala tusingefika huku.....
ndio maana nakwambia usikurupe kujifanya mjuvi..
..na ungetambua wa kwako usingekurupuka.....
Nani kakwambia ni ujanja, na ni nani anakuja jf kutongoza wewe..wewe vipi wewe..! Hujui kwamba kuna sababu zaidi ya mia za mtu kibadili id au unajia hiyo ya kutongoza, tatizo huku tunachukiliana poa sana wakat mwingine.
Nani kakwambia ni ujanja, na ni nani anakuja jf kutongoza wewe..wewe vipi wewe..! Hujui kwamba kuna sababu zaidi ya mia za mtu kibadili id au unajia hiyo ya kutongoza, tatizo huku tunachukiliana poa sana wakat mwingine.
Mimi na wewe nani anajidai anajua, naona hapo hata jf unajidai unajua sana,oho kajiunga juzi, kujiunga juzi ndo nini, acha utoto na ushamba bana..
kuwahi mapenzi kabla ya umri tabu sana...Kwa kweli kuna mademu wengine hawaeleweki kabisa, ivi inakuaje unamtongoza demu anakukatalia halafu unahamia kwa rafiki yake na rafiki yake anakupa tick na vema juu, halafu yule aliyekataa anaanza kuunguza picha?
balehe inakusumbua ...ukikomaa utajua....Hii inasababishwa na nini, kama umekataa si upige kimya tu.
Fake username ..hiyo id yako iko verified eehe..kunasababu zaidi ya miamoja za kubadili id..ikiwapo pamoja na kutishiwa maisha hasa kwenye mijadala ya kisiasa..ila kwa kuwa upo narrow minded wewe unadhani kila mtu anabadili id ili atongoze humu..mfa maaji haachi kutapatapa.......one fake username is ideal enough to socialise in all aspect regardless......liars/childish acts/cyber crime/casanovicism/devilish acts justifies ur excuses....
Hapo nini kinachoonesha umri hapo..?!!! Embu soma uzi wote hapo uniambie nini kinachoonesha umri mdogo..tatizo ujuaji wa kishamba umekuzidi..stats dont lie...even if the truth hurts
Join Date : 4th August 2014
haka kapostkako ni ishara tosha nadeal naka=''tineja'' ka namna gani...
Wasichana naomba muache hii tabia
Started by sr bachelor, 2nd September 2014 01:48
kuwahi mapenzi kabla ya umri tabu sana...
balehe inakusumbua ...ukikomaa utajua....
ndio maana ntaendelea kusisitiza wewe ni mkurupukaji..hata hujaelewa na maana gani kuhusu "ONE FAKE ID BEING IDEAL ENOUGH''Fake username ..hiyo id yako iko verified eehe
TOA ----- WAKO...KWA MICHANGO GANI UTISHIWE MAISHA,,,HIVI UNADHANI UKIBADILI ID HUTOPATIKANA...PATHETIC...WATU WANAHACK icloud..wewe unajiona uko safe kwa kubadili username jf!!!!..kunasababu zaidi ya miamoja za kubadili id..ikiwapo pamoja na kutishiwa maisha hasa kwenye mijadala ya kisiasa.
huna hoja ni viroja mtoto......ila kwa kuwa upo narrow minded wewe unadhani kila mtu anabadili id ili atongoze humu..
shudu ulizopost,,,,,Hapo nini kinachoonesha umri hapo..?!!! Embu soma uzi wote hapo uniambie nini kinachoonesha umri mdogo
who first quoted the other and pretended to a much know wanna be???....psychopath....!!!it all insanely commenced heretatizo ujuaji wa kishamba umekuzidi..
mr/miss.much knowUnagoogle picha za ughaibuni, embu soma mada
Unaruka ruka mno, unasema hili unasema lile, umenda kutafuta thread zangu, mara useme hili mara useme lile, ila all in all nadhani utajifunza kwambandio maana ntaendelea kusisitiza wewe ni mkurupukaji..hata hujaelewa na maana gani kuhusu "ONE FAKE ID BEING IDEAL ENOUGH''
TOA ----- WAKO...KWA MICHANGO GANI UTISHIWE MAISHA,,,HIVI UNADHANI UKIBADILI ID HUTOPATIKANA...PATHETIC...WATU WANAHACK icloud..wewe unajiona uko safe kwa kubadili username jf!!!!
Mahusiano, mapenzi, urafiki
97Jukwaa la Siasa
43
JF Chit-Chat12Habari na Hoja mchanganyiko9Celebrities Forum6KATIBA Mpya
4
Love Connect4Tech, Gadgets & Science Forum1Entertainment1Dini/Imani1
huna hoja ni viroja mtoto.....
Ehhe unajua sana, kwani kwa pumba nlizoandika hapo, unakisia umri wangu ni miaka mingapi vile..? Acha ujuaji bana wewe vipi..?!!shudu ulizopost,,,,,
who first quoted the other and pretended to a much know wanna be???....psychopath....!!!it all insanely commenced here
mr/miss.much know
got one word for you....''grow up''Unaruka ruka mno, unasema hili unasema lile, umenda kutafuta thread zangu, mara useme hili mara useme lile, ila all in all nadhani utajifunza kwamba
1.Ni vizuri kujikita kwenye hoja(uzi)
2.Ni jambo zuri kuacha ujuaji uliopitiliza na kuona watu wengine hawajui kitu, inaweza kuexpose limitation zako za ujuaji kirahisi sana
3. Stop hiyo bashing mnayofanyaga ya id mpya kwamba hawajui kitu, wakati mwingine ni mtu mziefu sema kabadili id tu.
4.Alafu sio kila mtu anaingia MMU kutongoza mademu, wengine tunaingia kujifunza na kuona challange wanazopata watu maana wengine hatupo hata bongo huko..
Ukiendeleza ubishi na ujuaji sawa lakini zingatia hizo point nne zinaweza kukusaidi kuepuka vitu unnessary kama hivi.
Ehhe unajua sana, kwani kwa pumba nlizoandika hapo, unakisia umri wangu ni miaka mingapi vile..? Acha ujuaji bana wewe vipi..?!!
Zingatia zile point nne zitakusaidia sana kukuepusha na hii za kishamba mnzofanya hapa jf zisizo na maana yoyote. Stop that na ujifunze(mjifinze) kuheshimu kila mtu(kuheshimiana)..kama hili la kuona id mpya na kuanza kumbash mtu muache kabisa ni utoto.got one word for you....''grow up''