Wakuu habari za kazi? wakuu nimetoka masomoni majuzi Namshukuru Mungu kwa kuwa nami mpaka namaliza. kwa sasa natafuta internship either kwa public or private sector in financial department jamani ninaomba kwa yeyote atakaeweza kunisaidia kwa hili ani Email kwa kasangit@gmail.com natanguliza heshima zangu kwenu.
majukumu mema,:A S-alert1: