Tafuta Auditing na Accounting firm kaombe ujitolee huwezi kukosa, alafu pia hizo firm zinakuwa na clients wake ambao wanakuwa wanataka wahasibu, so inakuwa rahisi ww kuwa recommended na firm unayofanya nayo kazi.
Hata mimi nilipata kazi baada ya kujitolea kwenye Auditing firm fulani, na nzuri zaidi nilipata uzoef mkubwa sana ambao mpaka leo unanisaidia ....