Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Habari wakuu,
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia business school kimekuwa kikiwatafutia internship wanafunzi wake katika mashirika mbali mbali zikiwepo banks n.k.... wanaofanikiwa kupata intership hulipwa kiasi fulani cha fedha kila mwezi na chuo hicho, internship huwa ni ya miezi sita. swali langu kwa wazoefu ni kwamba, baada ya wanafunzi hao kumaliza internship ya miezi sita hupata ajira katika makampuni husika waliyofanyia internship???? uwezekano wa kupata ajira sehem uliyofanyia internship ni aslimia ngapi kwa makadilio?