Unafanya kazi Serikalini halafu unakuja huku kuulizia sehemu ya kufanyia Internship? Are you mad bro?We mtu...
Mimi ni mtu mzima najitambua na najua nini nafanya na ni muajiriwa, serikalini katika sekta ya afya, najua nn nafanya.
Epuka kudharau usiemjua
Hili litakusaidia
Cha ajabu nn, naishi na staff wenzangu nyumbani,, auUnafanya kazi Serikalini halafu unakuja huku kuulizia sehemu ya kufanyia Internship? Are you mad bro?
Hii ndo kazi ya jamii forum, hii sio. Wambea forum, jamii forum, vipo vitu vingi tu vimepostiwa huku sasa si visingekuwepo. Wangekuwa huko mtaani wanajadili.Wewe unayejua kada ya afya ishu ndogo tu hii ya internship mbona imekutoa knockout hadi umekimbilia hapa JF??
Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kurespond kwenye huu uzi na nimejibu vizuri tu..ila nimechukizwa na tambo zako za kusema kuwa upo kwenye sekta ya afya na blah blah nyingi...Hii ndo kazi ya jamii forum, hii sio. Wambea forum, jamii forum, vipo vitu vingi tu vimepostiwa huku sasa si visingekuwepo. Wangekuwa huko mtaani wanajadili.
Wabongo buana nyie ndo mnalalamika ajira, hakuna na hakuna kwel mpka mnyooke[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Sio Tambo izo,,, wewe ndo unaona Tambo...Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kurespond kwenye huu uzi na nimejibu vizuri tu..ila nimechukizwa na tambo zako za kusema kuwa upo kwenye sekta ya afya na blah blah nyingi...
Nna waswas na uwezo wako kwenye kutatua changamoto, sikuwaza kama unaweza sema hayo mawazo....Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kurespond kwenye huu uzi na nimejibu vizuri tu..ila nimechukizwa na tambo zako za kusema kuwa upo kwenye sekta ya afya na blah blah nyingi...
Hapana,, human resources hawanaga intern watakuwa field au wamefanya temporary attachmentHivi hawa human resource wanafanya intern ? Maaana tunao hapa hosp
Anyway mkuu,tusibishane sanaSio Tambo izo,,, wewe ndo unaona Tambo...
That mind is crippled bro, usijione unatambiwa na kila kitu, Nilikua nakuambia ili Ujue unaongea na mtu mwenye exposure na anachokiongea,
Kama umeona Tambo na zimekukera umekoma[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Na ulie kabisa,, [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]
OK ,Hapana,, human resources hawanaga intern watakuwa field au wamefanya temporary attachment
Alisikika mlevi mmojaKwanza nianze Kwa kusema kuwa environmental health science ni kozi ya afya, Rejea vyuo vinavyoitoa kama MUHAS, KCMC.
Pili kuhusu internship, unapomaliza kutoka chuo ulichosoma , unakuja na vielelezo vyako vyote wizarani kwenye baraza husika, baada ya hapo unapangiwa internship wala hakuna ugumu
Sawa mkuu, Ngoja nibakie mlevi Kwa sababu nikiweka evidence hapa unaweza ukafuta post zako zote, Ngoja na wengine wadhihirishe ujuaji wako.Alisikika mlevi mmoja
Wewew ni MBU MBU MBU, MA AMUMA, ndio sababu hata ukaingizwa mkenge huko nje kwenye hiyo kozi yako ukidanganywa ni KOZI YA UTABIBU. HahahahaCha ajabu nn, naishi na staff wenzangu nyumbani,, au
Hapana,, human resources hawanaga intern watakuwa field au wamefanya temporary attachment
Hello guys kuna course moja Nimeipenda ila cha ajabu huko nchi za wenzetu hawana internship ila hapa kwetu TZ Wanafanya intern vip kama ukisoma unaweza fanya intern bongo au watafanyeje wakati equity!!
Karibuni kwa mawazo.
Mtu anafananiaje kwa kuangalia username yake?Mbona hufananii kusoma nje au ulikuwa University of Sudan