NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 397
- 280
Kozi gani?
Kozi za afya ndo zenye internship ya lazima kwenye nchi nyingi duniani, kwa hiyo ukiisoma nje itabidi urudi bongo kuifanya kwa mujibu wa sheria ili uweze kusajiliwa na professional board ya taaluma uliyosema
Bro hiyo sio kozi ya afyaNi kweli bro ni kozi ya afya Bachelor of Science in Environmental Health
Kuhusu uombaji wa internship huwa process zipoje
Hii haipo kwe sera za elimu bongo, labda utafute mwenyeweNi kweli bro ni kozi ya afya Bachelor of Science in Environmental Health
Kuhusu uombaji wa internship huwa process zipoje
Bro hiyo sio kozi ya afya
Tunakoenda hadi sayansi ya kitandani ya Dr. Mwaka itakuwa kozi ya afya....sio kila ukisikia health ujue ni kozi ya afyaUsijibu kitu ambacho hukijui[emoji23]
Nashukuru nduguMbona hufananii kusoma nje au ulikuwa University of Sudan
AhsanteTunakoenda hadi sayansi ya kitandani ya Dr. Mwaka itakuwa kozi ya afya....sio kila ukisikia health ujue ni kozi ya afya
Akisikia hata health management anachanganyikiwa..hahaha!!Tunakoenda hadi sayansi ya kitandani ya Dr. Mwaka itakuwa kozi ya afya....sio kila ukisikia health ujue ni kozi ya afya
Hahaha hii imetokea wengi mzumbe wametoka advance na PCB zao wakitarajia health management ni bomba la kozi mpaka pale wanakuja kukutana na hkl darasanAkisikia hata health management anachanganyikiwa..hahaha!!
We mtu...Hahaha hii imetokea wengi mzumbe wametoka advance na PCB zao wakitarajia health management ni bomba la kozi mpaka pale wanakuja kukutana na hkl darasan
mh!! kwaio environmental Health science ni kozi ya nn?Tunakoenda hadi sayansi ya kitandani ya Dr. Mwaka itakuwa kozi ya afya....sio kila ukisikia health ujue ni kozi ya afya
Mpaka hapa umeonyesha udhaifu wako 100%Mimi ni mtu mzima najitambua na najua nini nafanya na ni muajiriwa, serikalini
Ni bora nionekane mdhaifu kuliko kujibiwa na mtu ambaye hujui chochote kuhusu afyaMpaka hapa umeonyesha udhaifu wako 100%
Achana nao hawajui kitu hawa wamekurupukamh!! kwaio environmental Health science ni kozi ya nn?
Hahaha..utajiona boya kinoma.Hahaha hii imetokea wengi mzumbe wametoka advance na PCB zao wakitarajia health management ni bomba la kozi mpaka pale wanakuja kukutana na hkl darasan
Wewe unayejua kada ya afya ishu ndogo tu hii ya internship mbona imekutoa knockout hadi umekimbilia hapa JF??Ni bora nionekane mdhaifu kuliko kujibiwa na mtu ambaye hujui chochote kuhusu afya