Degree hii inahusika sana na maswala ya Value addition katika chakula, yaani hapa nazungumzia Food production, Food processing, ikiwa ni pamoja na Quality control/assurance ya bidhaa ya chakula inayotengenezwa.
Taasisi nnazoweza ku-qualify ni kama vile;
1.Viwandani: hasa viwanda vyote vinavyozalisha bidhaa zote za vyakula, mfano maziwa(na bidhaa zote za maziwa), Mafuta ya kupikia, sukari, mikate, vinywai vya aina zote kama maji, Soda, pombe n.k.
2.Tanzania Bureau of Standard (TBS) hasa kitengo kinachohusika na kuthibitisha ubora wa bidhaa zote za vyakula both domestic and imported one.
3.Taasisi yoyote ile inayohusika na mambo ya Food production or processing.
Nmejitahidi kuelezea kwa ufupi, i hope umeelewa mkuu.