Internet!

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
Naomba kufahamishwa kama kuna mtandao wowote wa simu unaotoa unlimited internet kwa masaa fulani kwa sasa.Pia kama kuna njia mbadala naomba kujuzwa. kalibuni.
 
kuna happy Hour Ya voda .ila mm now days inanikatalia kuunga.. japo jana tu wamentumia sms kua now imekua 199 badala ya 200...... kujiunga n *147*199# ila im not sure kama inakubali.... Pia wajanja night ni sh 500 1gb now days unaunga hata mchana
 
wajanja night kuunga mchana sawa ila matumizi usiku saa nne
 
Zantel Unlimited kwa mwezi - 300,000/=

TTCL Banjuka

Time bandPrice
06 :00 AM � 06:00 PMTSH 1,300.00 per hour unlimited
06:00 PM � 09:00 PMTSH 1050.00 per hour unlimited
09:00 PM � 06:00 AMTSH 650.00 per hour unlimited
 
Zantel hapa ndipo walipo chemka unlimited laki 3 sijui kama kuna home user hata kama ni tajiri anaweza kununua wangeweka hata laki moja wangewapata wateja wa ttcl kwa sababu ttcl longolongo linakuja kwenye laini
 
zantel unlimited n 30000 elfu! Sio laki 3! Mbona nngeenda smile bas!...
 
Back
Top Bottom