Internet ya simu kwenye kompyuta

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
Wakuu naomba nifahamishwe namna gani nitaipata internet ya simu kwenye kompyuta. Simu yangu nia aina ya LG KF510, mtandao ninaoutumia ni ZAIN.
 
ungekuwa unatumia Nokia ningekuelekeza,sina uzohefu na LG
 
Jaribu kuchekit tovuti ya LG. Mara nyingi (sina uhakika kama ni mara zote) ili upate internet ya simu kwenye computer itakulazimu ku-install software (ambayo inatolewa na vendor wa simu yako, yaani LG) kwenye computer yako ambayo unataka iwe na internet.

Jambo jingine la kuzingatia ni connection kati ya simu yako na hiyo computer. Simu nyingi zina-support BlueTooth, Infrared au USB cable. Mfano, mimi nina Nokia 2630 na natumia BlueTooth connection kupata internet kwenye computer yangu nikiwa mbali na ofisi.

Kama computer yako ni Desktop, mara nyingi hizi huwa hazina BlueTooth na hivyo itakubidi upate USB cable.
 
Nenda kwenye uwanja wa message, andika neno ACCESS tuma kwenda namba 232 utapokea configurations kwa ajili ya simu yako na utahitajika kuaccept na kuzinstall baada ya hapo itakuomba urestart simu yako hapo utakuwa tayari umeshaunganishwa kwenye internet kwenye simu yako na unaweza kubrowse kwa kutumia simu.

Sasa kama unataka kuunganisha simu yako kwenye computer unatakiwa kuwa na uhakika kama simu yako ina (moderm option) Hii ni option inayosupport simu kuwa moderm kwa ajili ya internet.

Pili unatakiwa kujua kama simu yako ina moja ya vitu vifuatavyo. Bluetooth, Infrared au USB Data Cable.

Kama ina bluetooth ili uweze kuconnect kwa kutumia bluetooth unatakiwa ununue bluetooth dongle kwa ajili ya kuwezesha computer yako iweze kupokea connection kutoka kwenye simu yako, zinapatikana madukani kuanzia elfu kumi na kuendelea

Kama ina Infrared basi computer yako pia inatakiwa kuwa na infrared pia. washa infrared ya simu yako na uhakikishe infrared ya computer yako iko enabled kisha ziweke karibu ili ziweze kuonana, zikionana itakuambia found new hardware install drivers nazo zitakuwa ni za moderm tayari kwa kubrowse

Kama unatumia USB Data Cable Unatakiwa kuwa na supporting software uliyonunua na simu yako kama ilivyo Nokia PC Suit kwa simu za nokia Kama simu yako umeinunua kwa magumashi basi jaribu kutembelea website ya LG

ukishindwa kuconnect kwa njia zote hizo hapo juu usione shida kuniPM
 
Inanijibu kwenye computer , there is no dial tone -inashindwa ku connect
 
Inanijibu kwenye computer , there is no dial tone -inashindwa ku connect

Mkuu, fata maelezo ya Mau hapo juu, yameeleza mengi ya kukufaa.

Nyongeza: Ukisha install software ya kuweza kutumia USB cable ili kuunganisha simu kuwa kama modem (LG software suite), basi hakikisha una unganisha hiyo simu yako na computer, kisha connect to internet kwa kutumia options ulizopewa katika hiyo software na siyo simu tena.

Kuhusu infrared conncetion kama option, nadhani haifai. Bluetooth inaweza kufanya kazi lakini nayo si recommend. USB to phone ni bora zaidi. Pia unaweza kudownload Opera Mini browser (kama haikuja nayo) na kuiweka ndani ya simu yako, hivyo kuweza kutumia simu moja kwa moja. Ina limitation zake, ila inafanya kazi.
 
To connect to the internet using your phone follow the instructions below.

  • Send SMS with the word "internet" to 232.
  • You will them receive your handset settings
  • Press "OK" and accept the settings
  • Go to Internet/WEB icon of your handset
  • Enjoy Internet access
Some handsets can not automatically accept Internet settings (Palm Treo, HP and some others). In this case you will need manually enter – Zain TZ as a network name and internet.tz.Zain.com as APN.
Then Install Software ya LG Software
Here:TechStuffs MySpace: PC Suite and USB Connection for Viewty

Just download the last one (LG Software Update Tool>>>), I think it automatically downloads all the required stuff, but of course you need some other internet connection first to install the software before you start using your phone for internet.

Also read the rest of that page important info there.

Some more Zain setting in case you need to enter them
  1. Choose Connection Type – GPRS
  2. Service Provider should be Zain TZ
  3. Check APN (Access Point number) internet.tz.Zain.com
  4. You do not have to enter or change User ID or Password
 
Nawashukuru wazee mpaka hapo. Kwenye simu access ya internet ipo, kwenye computer software ya ya LG is installed, Zain setting was done, Connection ya USB inafanyika, lakini kwenye connection message inayojitokeza ni connection failed no dial tone, nimeongea na mhudumu zain customer care amesema haiwezekani bila moderm.
 
Hiyo simu ndo modem sasa! Mimi ninatumia Zain na set up kama hiyo ila natumia Motorola V360 na software ya Motorola Phone Tools.

Kipengele hiki umekiseti fresh?
If you are using LG PC Suite, please ensure the Phone Settings - Connectivity - USB Connection Mode is set to Data Service.

Pia unatumia njia gani kuunganisha simu na PC?
 
connection failed no dial tone, nimeongea na mhudumu zain customer care amesema haiwezekani bila moderm.
kaka pole sana kwa usumbufu unaoupata. kwa ufipi ni kwamba umeshamaliza na network umeshaipata. hapa kuna jambo moja kati ya mawili unakosea kufanya na unapopata tatizo kama hili usipende sana kukimbilia customer care kwa sababu wengi sio experts wa tatizo lako.
fanya haya yafuatayo.

Simu yako imeshapata internet lakini moderm settings bado, Piga simu tena customer care kitengo cha GPRS uwaulize access point yao ni nini wakishakupa nenda kwenye simu yako na kwenye software unayotumia iweke. Nakumbuka mwanzoni kipindi natumia celtel access point ilikuwa ni internet.tz.celtel.com sijui kama wamebadilisha. Pia nakushauri utumie neno internet kama itakushinda

Jambo la pili huwa kuna dialing number wakati wa kuconnect kwa kutumia simu, mara nyingi inapokosekana na access point inapokosekana ndo inakuletea msg kwamba connection failed no dial tone kwa kumbukumbu niliyonayo hiyo namba ni *#99**1# kama sijakosea ndo hiyo

Nadhani mpaka hapo nadhani utakuwa umesaidika mkuu otherwise niPM nipe namba yako nitakupigia simu tufanye installation kwa pamoja nadhani itasaidia zaidi
 
Back
Top Bottom