Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,686 Reaction score 12,451 Feb 3, 2014 #1 Wanajamvi na siku kama ya tano leo internet ya blackberry kwenye line ya Airtel inasumbua sana.Tatizo ni handset yangu au Airtel? Kuna wanaopata tatizo kama langu kwa watumiaji wa blackberry ya Airltel? Msaada please.
Wanajamvi na siku kama ya tano leo internet ya blackberry kwenye line ya Airtel inasumbua sana.Tatizo ni handset yangu au Airtel? Kuna wanaopata tatizo kama langu kwa watumiaji wa blackberry ya Airltel? Msaada please.