Internet ya airtel iko very slow

Mm huwa nanunua kifurushi cha buku sita ila speed kama konokono simshaur mtu atumie airtel haswa kama anataka kuitumia kwa internet ni ushuz mtupu
 
HUU NI MTANDAO NINAOTUMIA MARA KWA MARA ILA KWELI UMEKUWA SHIDA.
NETWORK NI YA KUVIZIA.
 
Back
Top Bottom