Internet ni project CIA - rusia

Aqua kuna kitabu umeandika kwenye uzi wako hapo juu... kwamba umekisoma..naeza nikakipata mkuu????
" password yako ya site unazotembelea kama uamini ni PM nikuelekeze then ujionee mwenyewe."
Embu ni pm mkuu namimi nielewe!!
 
Last edited by a moderator:
Aqua kuna kitabu umeandika kwenye uzi wako hapo juu... kwamba umekisoma..naeza nikakipata mkuu????
" password yako ya site unazotembelea kama uamini ni PM nikuelekeze then ujionee mwenyewe."
Embu ni pm mkuu namimi nielewe!!
Nimesha ku PM
 
hv jaman napenda kuuliza je hapa kwetu kuna watu wa taaluma mbona sijawahi sikia hata siku moja mtu ame hack system fulani au sever ya company fulani wala hata ku develop software moja na sisi tukajivunia?

Hapa tz tunakosa hela za project
 
Mimi huwa napendelea mda wote kutumia TOR network ingawa nayo siyo 100% safe huwaga sipendelei ip adress yangu iwe public ktt masite tatizo linakuja nikitaka kulogin katika social networks account nimefungulia ip ya bongo then na login kwa ip ya nje hapo account yangu huwa wana issaspend.
 

Inakula kwenu kama unatumia kwa nia ovu. As long as unatumia kwa mawasiliano halali ya kijamii na kiuchumi sidhani kama kuna haja ya kuogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…