Internet Kutoka Kwenye simu Kwenda Kwenye Computer

Davies_007

Member
Apr 22, 2010
59
0
Wakuu, Naomba Kuuliza, Nawezaje Kutumia Internet Kutoka kwenye simu na Niweze Kuconnect na my Laptop?
 
Niliwahi kutumia nokia n72 kwa line ya voda nikaunganisha kwa usb cable kwenye laptop ikawa connected kwenye net ila lazima uwe na software ya n72 kwenye laptop. Nenda google kisha andika aina ya simu yako ukitafuta software yake. Mfano "free-download nokia n72 pc suite" kisha fuata mtiririko!
 
inawezekana mkuu,simu yako kama ina cd una load software ya hiyo simu kwenye laptop,ila inakula hela ile mbaya!usiposhtuka kwa 1hr unaweza kuta elfu 10 imeishia!
 
Unaweza kununua Software ya Nokia PC Suite kama simu yako ni Nokia, then ukafanya installation kwenye computer!
 
Ni lahisi sana, kwanza ni kuweka software ya simu yako ndani ya laptop yako, kama ni Nokia jaribu kuistore hiyo software, au nenda popote panapouzwa simu kisha waambie wakupe zile CD za aina ya simu yako, kama ni Nokia Watakupa, kama ni Motolola watakupa kisha fuata process hii

1. unganisha cable toka kwenye simu yako hadi kwenye laptop yako.
2.nenda kwenye start kisha chagua ile software ya simu yako uliyoinstore ili iwe active.
3.Hapo utaona mnara wa aina ya internet

Kama haujaweza naomba useme simu yako ni ya aina gani ili tuweze kukuatach hiyo soft ware sasa hivi

Thank
 
Simu Yangu Ni Samsung D880 Ntashukuru Ukiniwekea hiyo Softwire Hapa Mkuu

Davies_007
Hakika hicho ni kibarua kizito kwani hiyo simu yako sidhani kama una software yake, na kama hauna hiyo software nakushauri utafute simu yoyote ya Nokia ili uweze kuinstore hiyo Nokia suite software na kisha utafanikiwa kupata Internet.

Nadhani hiyo umelielewa Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom