Internet: Kampuni yoyote inayotoa huduma za internet nahitaji.

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
728
Reaction score
322
Niko wilaya moja ya mkoa wa Mbeya,

Nahitaji internet ya matumizi ya ofisini angalau 1MBps.

Nahitaji gharama za kila mwezi, kufungiwa n.k

Tafadhali TTCL hawahusiki huduma zao mbovu sana. Mashirika mengine pia ya simu yana bei sana.

Msaada.
 
Kwa Vile uko Mbali. Ila kuna kitu cha Smile Communication hapa Dar. Ni Balaaaa. Mchana huwa ninapata SpEed ya 16Mbps. Ikifika Usiku Speed inapanda hadi 46Mbps. Ni NomAaaaaaa hiii kitu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
sawa marketing manager wa smile
 
Back
Top Bottom