Internet inaweza kukufanya kuwa tajiri

Tunaomba mfano wa blogs mlizozitengeneza.
Nalog off
 
Utuambie ni jinsi gani tunaweza kuwa tajiri kwa kutumia internet
 
hyu mleta mada cjui alikuwa anakimbizwa! ndyo nini kutuwekea bango na kutuacha bila ya maelezo ya kutosha

Yani ni shida.. Nataka aniambie naweza vipi kutengeneza pesa kwa whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…