Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,078
- 15,062
Mpwa wazo lako ni Jema ILA Naomba nikushauri nionavyo mimi, kwa maeneo hayo internet sio hotcake tena. Chagua eneo jingine au mbali na internet service hakikisha unaongeza na votu kama tigopesa, mpesa, photocopying, na kwa nje weka soft drinks ili kuhakikisha kuwa you don't relay kwenye internet tu. Kuhusu providers sina uhakika sana. Huo ni mtazamo binafsi WA kwangu
mkuu kabla hujaanzisha hiyo huduma hakikisha una printer, scanner na photocopy machine...mi nina cafee yangu nje ya mji ila kiukweli net tu hailipi..kinacholipa ni printing scanning n photocopy...kama utakua huna hizo huduma nakushauri usifungue internet cafe...siku hizi watu wanaweza ku access net kwa simu so wanakuja cafe kama kuna issue za kuscan au kuprint.....pia ukiweka huduma kama mpesa na kupiga picha dakika tatu itakusaidia
Chukua ushauri uliopewa ila ukitaka kwenda mbele ttcl wanatoa broadband unlimited kwa 30000 tu kwa mwezi waweza check nao nadhan ile moderm yao ni kwenye 70000 pia utahitaj hub kama bado hujanunua
Wakileta cableHii ni hadi wakuletee cable au ni wireless?
mm nataka kuwa internet provider nitafanyeje mwenye uelewa wa issue hizi atupe detail