Internet Cafe zaifungia Jamii Forum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Internet Cafe zaifungia Jamii Forum

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Humphnicky, Dec 30, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,621
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti wanakwambia walionywa kuwa wasiruhusu wateja wasitembelee tovuti hiyo.
  Kuna mgahawa mmoja uko mjini, wamebandika kabisa bango kuwa ni marufuku kuingia Jamii Forums, ni amri sio ombi.
  jamani, mbona tunako elekea kunaonekana ni kubaya kuliko tuliko toka?
  yangu macho.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wamekatazwa na serikali?
   
 3. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,621
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  ndio
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,804
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  Piga picha huo mgahawa pamoja na picha ya bango lete hapa majungu marufuku jf
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,608
  Likes Received: 10,109
  Trophy Points: 280
  Long walk to freedom
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanaacha kumfungia mange kimambi na u turn yake wanabaki kuhangaika na jf , mtandao wenye manufaa kedekede kwa taifa letu changa
   
 7. Tores

  Tores JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Wanaacha kufungia blog za pornography kama zakina mange....eti....wanafungia JF....ila ni kweli au majungu???? After all siku hizi sisi wababe wa mtandao tunatumia moderm...Watajiju!!!
   
 8. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,350
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ckweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  lete picha tuache hapari potofu jf
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  PEOPLE'S POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR hiyo shenzi kabisa. Kama wanazuia MOTO basi MOSHI unaonekanaa tuu, watabana mpaka lini wataaachia tuuuu JF for LIFE. tena habari mbaya sana kwao nimeenda kwa Doctor juzi amegundua kwamba niko ADDICTED NA JF so ni maumivu tu kwaoooooooooo. wakibana kwenye internet cafe ingieni MOBILE
   
 10. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mimi ninapoenda kwa dharura hua naipata JF.
  Japo natumia modem na mobile.
  Ila naogopa hata kuitaja hiyo modem yangu ni ya kampuni gani...maana naweza ku.....bure.
   
 11. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,339
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Dawa ni kununua modem na simu zenye internet.
   
 12. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  chiefmtz!
  Umenena!.
  Tena kwa simu zenye internet ni zaidi hata kwa gharama za matumizi. Kwa matumizi makubwa kama kudownload n.k wanisaidie wajuzi zaidi.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Shida wapi? hata wakibana tunatembeana cm zetu na laps zetu, huwezi kuzuia mvua. Voda nacheka kwa mia tano ck nzima nakamua bwerereeee hafu mnambie habari za cybercafe? kufanya nini?
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,580
  Trophy Points: 280
  Madai yako wala hayaingii akilini!!! Ninachojua mimi; cafe nyingi wanatumia Internet Explore ambayo may be due to technical reason zinashindwa kufungua JF!!! Nakumbuka hata mimi kuna cafe nilikuwa nikiingia nashindwa kufungua JF hadi nilipowaambia wa-install Mozilla
   
 15. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,610
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Taja huo mgahawa ili tukathibitishe usemayo!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,628
  Likes Received: 11,538
  Trophy Points: 280
  ukistaajabu ya mose utayaona ya ***** juzi juzi tu mkubwa wa nchi kaenda kufungua sherehe za kaburi leo JF wanaiblock kwenye cafe..mmiliki wa dowans hawamtaji lol!!
   
 17. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  JF Daima
   
 18. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi nahisi hawa Viongozi wengi wako kwenye hili jamvi!!!!, Wengine ndio twajibizana nao, na majina.......(Fulani Fulani Hivi):bump:
   
 19. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,615
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wafunge wasifunge watajiju, mbona njia za kupata JF ni nyingi sio lazima cyber café
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,813
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kama ni kweli basi ujima umerudi tena
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...