Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,570
- 16,358
hii issue ni serious ipo siku mtu atakuja kulia na kusaga meno! mm nilikuwa natumia ya voda na airtel yaani nadownload GB hata 100 for two days mwisho nikaona sio fair kabisa kuibia watu nikaachana nayoIs this LEGAL? Vodacom,Airtel na TCRA wanajua kwamba una provide these services usije ukawa una hack then wateja baadae ndo wakaja kusumbuliwa