Internet bila kikomo siku 30 kwa 17000

Internet bila kikomo siku 30 kwa 17000

N'jomba-N'tu

Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
55
Reaction score
20
Habari wapendwa.

Kwa wenye vodacom tu wanicheki ili niwape hii huduma kwa bei nafuu kabisa.

Nakuunganisha ndipo unalipa pesa.

Wakuu habari zenu. Leo tena kwa mara nyingine nawaletea hii. Bando la interner la unlimited kwa mwezi mzima kwa gharama ya 21,000. Hii ni kwa wenye laini ya Airtel tu. Naweza kukuunga then ndipo ukalipa.

Kama kawaida njoo whatsapp 0677323041
 
Mkuu hebu fafanua bhasi hata kidogo!
Lina ukubwa(mb, GB) ngapi!
 
Bi-kea-fuli wajameni..... Watu hawana hela tusemee tu 2000 akiwapiga watu 50 tayari ana shs ngapi hapo.
 
Kama ni Mtandao wa Voda Hiyo Huduma Niikose tu.

Ingekua Mitandao Mingine Sawa
 
sasa kama wengine wanagonga hiyo unlimited airtel+vodacom kwa pamoja kwa 13K, wewe unataka voda pekee kwa 17K?
 
Back
Top Bottom