Avit Karoli Member Joined Jul 26, 2013 Posts 21 Reaction score 5 Jan 4, 2016 #1 Habari zenu wana JF nilitaka kujua kuhusu hii course ya international relation inatolewa katika vyuo gani hapa Tanzania?
Habari zenu wana JF nilitaka kujua kuhusu hii course ya international relation inatolewa katika vyuo gani hapa Tanzania?
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,070 Reaction score 42,714 Jan 4, 2016 #2 Mwalimu Nyerere Memorial Academy pale kigamboni nadhani wanatoa hii Course.
Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,740 Reaction score 5,703 Jan 6, 2016 #3 Avit Karoli said: Habari zenu wana JF nilitaka kujua kuhusu hii course ya international relation inatolewa katika vyuo gani hapa Tanzania? Click to expand... Udom
Avit Karoli said: Habari zenu wana JF nilitaka kujua kuhusu hii course ya international relation inatolewa katika vyuo gani hapa Tanzania? Click to expand... Udom
Avit Karoli Member Joined Jul 26, 2013 Posts 21 Reaction score 5 Jan 8, 2016 Thread starter #4 Hivi unaweza kuwa mnafahamu ni vigezo gani wanahitaji kwa ngazi ya certificate au diploma?
matebe Member Joined Feb 28, 2014 Posts 14 Reaction score 5 Jan 8, 2016 #5 Kwani ww void huwez Kugoogle?