International relation

International relation

Avit Karoli

Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
21
Reaction score
5
Habari zenu wana JF nilitaka kujua kuhusu hii course ya international relation inatolewa katika vyuo gani hapa Tanzania?
 
Mwalimu Nyerere Memorial Academy pale kigamboni nadhani wanatoa hii Course.
 
Hivi unaweza kuwa mnafahamu ni vigezo gani wanahitaji kwa ngazi ya certificate au diploma?
 
Back
Top Bottom