Internal storage damaged

Internal storage damaged

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
2,230
Reaction score
5,416
Habari wana jukwaa,
Tatizo lilianza pale tu ambapo simu ilianza kusitisha kuendelea na kufanya uchakataji wa taarifa kipindi nilipokua naitumia.
Kwa mfano, Ukiwa unaangalia video au kutuma ujumbe kuna maandishi yalikuwa yanajitokeza "unfortunately chrome browser has stopped" kisha inaleta options mbili yaani ku restart au kuzima simu.
Baada ya hayo hiki ndicho kimejiri kwa sasa kwa maana nikiiwasha na kujaribu kurestore ama ku restart haileti suluhisho.
Aina ya simu ni Huawei Y550 L01
 
Attachments

  • 1528020481102621702082.jpg
    1528020481102621702082.jpg
    97.2 KB · Views: 58
  • 1528020548664-1103545146.jpg
    1528020548664-1103545146.jpg
    109.3 KB · Views: 46
Habari wana jukwaa,
Kuna app umeinstall itakuwa inamavirus sasa chakufanya nenda setting >>> security>>device administators hakikisha umeweka tiki kwenye find my phone pekee hizo app nyingine ziweke off kisha nenda kwenye setting halaf angalia downloaded app ambazo hauzielewi zifute hasa hiyo inayojiita emegency data
Pia clear cache za app ya chrome browser
Ukimaliza ulete mrejesho tuone kama tatizo limekuwa solved
 
haiwaki kabisa sasa hivi? huko kwenye recover unapoenda ku format hupati error ya emmc?
 
Kuna app umeinstall itakuwa inamavirus sasa chakufanya nenda setting >>> security>>device administators hakikisha umeweka tiki kwenye find my phone pekee hizo app nyingine ziweke off kisha nenda kwenye setting halaf angalia downloaded app ambazo hauzielewi zifute hasa hiyo inayojiita emegency data
Pia clear cache za app ya chrome browser
Ukimaliza ulete mrejesho tuone kama tatizo limekuwa solved
Bahati mbaya hakuna hiyo option kwani simu inaonekana hivi,
Hivyo basi hakuna hata home screen zaidi ya hii
 
Kwa sasa simu inaonekana hivyo.
kwenye ku format ina load then ina cancel bila mafanikio
 
Attachments

  • 1528145392276-1551620298.jpg
    1528145392276-1551620298.jpg
    127.4 KB · Views: 52
Kama Unakumbuka Email Uliyoingia Nayo Playstore, Jaribu Kuhard Reset
 
Kwa sasa simu inaonekana hivyo.
kwenye ku format ina load then ina cancel bila mafanikio
Hard reset kwa kushika button ya volume up na switch on .ukiona robot la android minya switch on kisha minus volume up kwa kushikilia kwa sekunde 2 .
 
Haikubali kuhard reset.
Haifanyi booting ya option ya hard reset.
Asante mkuu
Hard reset kwa kushika button ya volume up na switch on .ukiona robot la android minya switch on kisha minus volume up kwa kushikilia kwa sekunde 2 .
 
The only way ni kuinstall new OS (firmware) ili upate mfumo mpya usio affected na virus....tatizo likiendelea basi chip tayari imecorrupt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom