Intergrated Accounting Package needed

Intergrated Accounting Package needed

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,917
I am looking for Accounting Package capable of doing the following:

Inventory Control

Selling

Customers Management

Billing

Human resources / Payroll

Procurement

Financial control mechanisms: handling of cash, authorizing expenditure, segregation of duties, handling assets, auditing the accounts, checking bank reconciliations,

Financial planning: annual budgets (revenue and expenditure), monthly cashflow forecasts

Financial statement production


ANY ASSISTANCE / INFORMATION WILL BE HIGHLY APPRECIATED

NYATI
 
Tafuta Sage Line 50 kwa business ndogo au Sage line 500 kama una business kubwa kwa maana ya volume of transactions
 
Unataka ready made package ama customer built inn according to the needs?.

Uko nchi gani?, kwa maana kwamba kuna kitu kama payroll ambayo haifanani tokana na mapato, makato na taxation system za nchi.

Ni-pm nikupe ushauri zaidi katika hili.
 
Tally cha mtoto kuna Oracle au Epicor.
Sijui volume zako za transaction zikoje na bajeti yako imesimama vipi maana hizi software zinacost kinoma noma
iam not sure kama anahitaji taifa kubwa kama hilo ambalo linaanzia mil 10 za madafu.....nafikiri zifuatazo zitamfaa zaidi
-MYOB

-Quick book

-microsoft office accounting profffesional

-Tally

-Simply Accounting premium

Zipo nyingi inategemea na kama unataka kutumia small au large business scale business.
 
Mbona hutuambii kama umefanikiwa au bado unahitaji,Wantanzania bwana mkifanikiwa tu kimya.
 
Ipi nzuri na kwa bei ambayo ni affordable kwa biashara ndogo.
 
Back
Top Bottom