Inter university transfer

Inter university transfer

france tz

Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
27
Reaction score
2
hivi ukishaama chuo kimoja kwenda kingine, mkopo wako utaamishwa baada ya siku ngapi?? Wataalamu nisaidieni
 
inachukua mda kidogo inategemeana na speed yako pamoja na watavyokuwa waki respond kufanya transfer ya pesa yako
 
Pambana na loans officer tu coz ukizembea utamaliza semester au mwaka hujapata pesa ila zikija aaaaaaah mpunga wote
Iv boom la kwanz nspopewa alafu nikaja kupewa baada ya miezi kazaa..... nitapewa na lilies la kwanza au
 
Back
Top Bottom