Intended Only to Women

Cruzoo

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
37
Reaction score
17
Hi guys

I am a reserved kind of a common man, somehow Outgoing and a bit funny as well. I have a longing in me to have a lady company to share stuffs, challenges, get more insights on women and give more on men! Share some stuffs on life in all aspects etc. (Kwa kuwa hatujuani naamini tutakua wawazi zaidi privately again as one way of open up ours inner hearts, stuffs we dont have someone to release to)

Humble, secrerative, generally knowledgeable, inspiring (or need to be inspired), have a common zeal to learn/share will be highly welcomed and appreciated.

Please PM if ONLY you have this kind of a longing.

Thanking You.
Kuonana Sio Priority:
 
mhhhh i seeee nikiulize kitu?
 
Hovyooo nikikwambia twende kwa Ras Simba unaleta pozi, sasa toa tu mimacho hivyo2. Afu changamkia tenda hiyo, sasa wewe komaa tu na uchumba sugu wako

Hehehehe....usiniambie we umeelewa...!!
 
Hapana... Nilijua unatania... kwa kuwa nimeshaona mahali na mahali umeandika kiingereza kizuri sana.

Hahahaa yan sentensi moja tu hiyo niliyokopi kutoka gugo ndo useme naandika kingredha kizuri.....
 
Hahahahahaha jamani wa mwambia mwenzio achangamkie tenda wakati hata hajaelewa iko yeye kimbia umande hahahahah
Hovyooo nikikwambia twende kwa Ras Simba unaleta pozi, sasa toa tu mimacho hivyo2. Afu changamkia tenda hiyo, sasa wewe komaa tu na uchumba sugu wako
 
Hovyooo nikikwambia twende kwa Ras Simba unaleta pozi, sasa toa tu mimacho hivyo2. Afu changamkia tenda hiyo, sasa wewe komaa tu na uchumba sugu wako

hahahaaaa ras simba anachukua hela ndefu wengine vichwa vigumu khaaaaa shida hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…