Intenate kwenye samsung c3010s

MDAU JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
452
Reaction score
82
Wakuu naomba msaada wa kuirejesha huduma ya internate kwenye mobile phone yangu aina ya SAMSUNG C3010S ambayo ilitoweka ghafla takriban kama siku 4 zilizopita, me nimejaribu kufanya hivyo bila mafanikio, naomba msaada anayefahamu namna ya kurejesha aniwekee hapa, natanguliza shukrani, karibuni.
 
Omba upya settings za internet kutoka kwa service provider wako uzi 'activate' Kisha jaribu ku'connect'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…