Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,382
una maana ganihesabu unajua au unajua kuhesabu
una maana ganihesabu unajua au unajua kuhesabu
A. Melancolin:una maana gani
Kila kilichoandikwa hapo ni sahihi kwa asilimia 95 ingawa kuna makosa ya spellings kwenye kuandika Extrovert na Introvert.Hiyo hapo juu nimeitoa facebook ilivyo bila editing wanajamvi. wataalam wa hili watusaidie ukweli na hata mifano hai ikiwezekana.
anhaa hapo sipo..namaanisha nipo ya chini yake Yaani FragmeticA. Melancolin:
Binadamu katika kundi hili ni wenye upeo mkubwa wa kuvumbua mambo ya kitaalam yanayohitaji akili nyingi na wana uelewa mpana kwenye masomo ya Sayansi na Hesabu. Licha ya uimara huo katika akili zao, binadamu wa kundi hili wana hisia zinazogusika na kuchokozeka kirahisi. Kundi hili maranyingi ndilo huwekwa kwenye vitengo vya kuchakata taarifu zote za kijasusi kutoka vyanzo malimbali vya mashirika au idara husika.. Na pia hukaa katika vitengo maalumu vya maamuzi ya mwelekeo wa nchi au taasisi, au shirika
MASELE acha kumtukana mwenzako, kaishajiona introvert we mpe faraja tu.hesabu unajua au unajua kuhesabu
Huyo anakuwa ni introvert na extrovert hizi tabia mbili zinakuwa zimechangaka pamoja.Vipi kuhusu kundi la AMBIVERT
Baada ya hapo ndipo unaunganisha matukio (Connecting dots)Upelelezi unaanza na: 1. Makosa yanayofanywa na mtu au watu katika nyanja mbalimbali. 2. Kuona hali isiyo sawa katika mtiririko wa maisha ya mtu au watu. Baada ya hapo ndipo utafuata 6W, Where? When? hoW? Who? Why? na What?
Mbona niliandika pale copied as it is from andiko la Nyerere on facebook? Mimi siyo mtaalamu wa lugha lakini nadhani ulishaelewa kilichokuwa kimemanishwa katika andiko hilo. Labda unataka uchokozi tu au kutaka kuonyesha ufundi wako wa lugha.
Mbona niliandika pale copied as it is from andiko la Nyerere on facebook? Mimi siyo mtaalamu wa lugha lakini nadhani ulishaelewa kilichokuwa kimemanishwa katika andiko hilo. Labda unataka uchokozi tu au kutaka kuonyesha ufundi wako wa lugha.