Hivi wewe unazo sifa za kuzungumzia Akili au Intelligencia au unadhani ni ubwabwa wa Mbowe na Kiraka Lissu.Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamiaš¤£š¤£š¤£
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeaš
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuunguaš¤£
Jamaaa bwanaKuhusu barua TAL aliandika barua mbili moja yenye nia ya kugombea urais 2025 na nyungine umakamo uwenyekiti na hizo zote ni barua za mwezi wa nane. Inshort TAL amebadilika saiv kutaka uenyekiti kama ulikua hujui. Mambo unayoyasema hayaitaji intelijensia ni mambo ya wazi. Uzi wako ni nonsense
CCM haina inteligensia zaidi ya ushirikinaImagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamiaš¤£š¤£š¤£
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeaš
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuunguaš¤£
Mleta uzi kawapulizia Uhoro sasa mmeanza chafyaHivi wewe unazo sifa za kuzungumzia Akili au Intelligencia au unadhani ni ubwabwa wa Mbowe na Kiraka Lissu.
Nonsense. Kichefuchefu .
Endelea kujidanganya netapusiCCM haina inteligensia zaidi ya ushirikina
CCM imejaa ushirikina tupuEndelea kujidanganya netapusi
CCM hawana akili timamuMleta uzi kawapulizia Uhoro sasa mmeanza chafya
UWT mmepaniki haswaHivi wewe unazo sifa za kuzungumzia Akili au Intelligencia au unadhani ni ubwabwa wa Mbowe na Kiraka Lissu.
Nonsense. Kichefuchefu .
Pata na ww ushirikina uchukue dola kama dola inaongozwa na kushikwa kwa ushirikina pekeeCCM imejaa ushirikina tupu
CDM ndo machizi kabsa, wahuni na vibaka wale.CCM hawana akili timamu
Waganga wa kienyeji wanaisaidia sn CCM, CCM inabebwa na polisi, NEC na ushirikinaPata na ww ushirikina uchukue dola kama dola inaongozwa na kushikwa kwa ushirikina pekee
Sababu hawana akili timamuWale wote walioweka post za kizushi wamerejea kwenye huu uzi kwa hasira zotešššš
Nasikia wewe na Mdude ndo think tank ya CHADEMA? Lengo kuu la CCM ni kushinda uchaguzi na kubakia madarakani. Kufahamu press conference ya pandikizi la Msigwa huko CHADEMA haiwezi kusaidia CCM kwenye sanduku la kura.Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamiaš¤£š¤£š¤£
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeaš
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuunguaš¤£
š®No one discusses the humiliating defeat kwenye chaguzi za mwezi tu uliopita.
Easy tu na ww vichukue hivyo vikubebeWaganga wa kienyeji wanaisaidia sn CCM, CCM inabebwa na polisi, NEC na ushirikina
umezeeka wwRamli chonganishi zote zimefeli wengine wamerejea. Kwa ID zao za hakibaš