Intel duo core na intel pentium!!

Richbest

Senior Member
Joined
May 23, 2011
Posts
101
Reaction score
24
Habari wapendwa! Naomba mnisaidie tofauti na faida/hasara za kila moja hapo juu!
 
Pentium ni ya zamani sana na juzi Intel wametangaza kui-phase out.
Dual core ilikuwa improved version ya Pentium ila nayo ikawa upgraded na nafasi yake imechukuliwa na Core2duo.
Ila ni bora uende na processor za kisasa zaidi yaani Intel Core i3, Core i5 na kama uchumi unaruhusu Core i7
 
Hili nilishawahi kulielezea hapo zamani:


https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/161436-vijana-wa-ma-kompyuta.html
 
Habari wapendwa! Naomba mnisaidie tofauti na faida/hasara za kila moja hapo juu!
Duo ni family processor yenye Core(cpu) mbili kwenye chip moja.inaweza kuwa ni Intel au AMD au chip maker yeyote Kwa hiyo

Dual Core= Ndani ya proccessor chip moja kuna CPU mbili
Intel Petium= Ni kampuni mojawapo inayotengeza chip za prccessor. Pentium nimoja ya product famlly zao za mwazo amabzo archtecture yake ni kiyume cha Duo. CPU moja ndani ya proccessor moja.

Ebu Soma maelezo ya mtalaaam huyu wakati unasubiri majibu ya wataalam wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…