Intanet Tanzania

Intanet Tanzania

pojore

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
516
Reaction score
1,749
Habari ya leo wakuu! Kutokana na shughuli zangu nahitaji mtandao wa intaneti ya uhakika pia kwa kasi kubwa. Nipo Geita mjini pia ninatumia mtandao wa Halotel kwenye 3g Huawei wifi router yangu lakini kasi yake bado nina matumizi makubwa daily zaidi ya 5GB mtandao wa Vodacom na Tigo ovyo speed kobe labda usiku ndo poa. Hivyo kwa yoyote ambaye anaweza nijulisha kampuni yenye kutoa huduma ya intaneti kwa kasi nayohitaji itakuwa vyema sana pia msaada mkubwa sana kwangu na shughuli zangu! Karibuni wakuu
 
Check device zako upande wa speed na pia unaweza check location unayofanyia kazi pengine ndio tatizo.

Kwa tz walau halotel wanajitahid.labda na ttcl ila maeneo mengi haipo
 
Ahsante mkuu,huko kote nimepita lakini naona mbadala ni kupata kampuni la kutoa huduma hiyo tu kwani hii mitandao yetu ya simu wametuokota sana ni muda wa kupata thamani halisi ya pesa yangu hata kama gharama ni juu haina shida.
 
Wachek ttcl mkuu
 
Watafute TTCL wakuunganishie huduma yao unlimited GB mwezi mzima...malipo madogo utafaidi sana ila speed sina uhakika kwa huko ulipo
 
Habari ya leo wakuu! Kutokana na shughuli zangu nahitaji mtandao wa intaneti ya uhakika pia kwa kasi kubwa. Nipo Geita mjini pia ninatumia mtandao wa Halotel kwenye 3g Huawei wifi router yangu lakini kasi yake bado nina matumizi makubwa daily zaidi ya 5GB mtandao wa Vodacom na Tigo ovyo speed kobe labda usiku ndo poa. Hivyo kwa yoyote ambaye anaweza nijulisha kampuni yenye kutoa huduma ya intaneti kwa kasi nayohitaji itakuwa vyema sana pia msaada mkubwa sana kwangu na shughuli zangu! Karibuni wakuu
Smile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom