Insurance Agency

Insurance Agency

cmomwa

Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
55
Reaction score
8
Jamani ndugu zangu hakuna kitu kingine chochote ninachokitegemea kiniingizie pesa zaidi ya Wateja wangu wa bima kuja na kuniungisha.

Tunahusika na kukatia bima magari, pikipiki, machinery, na vinginevyo so if you are interested nicheck nichekini ndugu zangu tupeane michongo.
 
Mbona Uzi hauna nyama za kutosha.

At least taja Jina la insurance company unayodeal nayo au Jina la Kampuni yako.

Elezea Aina za Insurance na bei zake.
Location ya ofisi pia.
 
Back
Top Bottom