hapo jibu unalo kabisa, huna nafasi ya kutosha, either uingize kwenye sd card au ufute hadi utakapopata spaec ya kutosha, uangalie na sehemu mfano kama caching kutoka kwenye apps mbalimbali, mfano whatsapp unaweza kuta ina data hadi 200+MB muda mwingine, browser cache etc usafishe... Afu kama u really need that much space nadhani ni muda umefika wa wewe kununua simu ya kiwango zaidi ya hapo ulipo sasa....
Kuhusu kupata paid apps for free hapo sitasaidia, kama developer sipendi kuona mtu anachakachua app ya developer mwingine, it takes years to learn programming, takes time n money to make a software afu uchakachue? hapo utakuta software yenyewe $1 kitu ambacho hata hakikutoi jasho.