Wakuu eeeeh,ka-tecno p3 kangu whassup messenger yake inagoma kuwa updated,nikidownload hilo file la update likishamalizika linagoma kuwa installed na kiniletea ujumbe wa hyo title yng wakati kuna internal free memory ya 30mb na 6gb ya kwenye memory card naombeni mwenye kujua utatuzi wa hili tatizo anisaidie wakuu
Mkuu nikitaka kuing'oa kabisa ile built in whatssup,i mean ile iliyokuja na simu inagoma kung'oka,nikitaka kuiupdet ndio inaniletea sarakasi za insufficient internal storage,yaani kaka hapa ni majanga tu