young genious
Member
- Aug 6, 2017
- 80
- 36
Nimejaribu kufuatilia ila sijaona/kusikia kuwa wanahitaji wanafunzi wenye ufaulu wa masomo gani [emoji134]Ingia kwenye website yao au sikiliza clouds fm.
D 4 na kuendelea.Nimejaribu kufuatilia ila sijaona/kusikia kuwa wanahitaji wanafunzi wenye ufaulu wa masomo gani [emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaaa Kwaio unaweza uka apply hata kama hujaenda A-level means elimu ya form four tu???D 4 na kuendelea.
shukrani mkuu Kwaioni D4 na kuendelea hata "C" "B" n.k ni fresh tu [emoji122][emoji122]Hizo ni kozi zinazohitaji D4 za masomo yoyote isipokuwa ya dini
YesAnhaaa Kwaio unaweza uka apply hata kama hujaenda A-level means elimu ya form four tu???
NotedOk mkuu [emoji122][emoji122]
Shukrani sana