Instructions zinaogopesha

Teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeh, hizi instructions ni kwere
 
Hahahahahaha au ana changanya maswali kwako swali la kwanza kwa jirani yako ni la kumi sasa jichanganye tuu upige tena ana waruhusu msogeleane
 
Huyu mwalimu hana maadili. Lazima atakuwa kama wale walimu wa Muhimbili miaka ya 1980 na 1990!
 
Kipindi nasoma chuo kuna lecturer mmoja alikuwa ana boa anatoa m.choice sasa ile kusoma inaboa so inabidi upige chabo kwa jirani unayemwamin ata kidogo.
Mkitoka kwenye pepa duu kumbe mitihani ilikuwa mitano tofauti tulifelii jeee

hahahahaha hiyo ilikuwa disaster aisee
 
kudadida ningeacha kufanya pepa na kufuata instruction ya kusali peke ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…