Institute of Adult Education | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Institute of Adult Education

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dunia tunapita, Oct 12, 2012.

 1. dunia tunapita

  dunia tunapita JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamani anayejua taratibu za chuo hiki,,, kufanya registration kwa First yr walisema mwisho tar 5/10.

  Kuna mtu amechaguliwa apo bachelor na hajariport had saiv, ameplan kufanya next friday tar 21/10 mana amepata ishu ya kusimamia pepa ya form 4 na hivi hakupata mkopo akaenda kusimamia.

  Mliopo hapo au kama ulipita hapo,em nijulisheni kama watam register!
   
Loading...