Wana JF habari za asubuhi,
Tafadhali naomba msaada, hivi inawezekana ku install free TV chanels zingine kama ITV and the like kwenye decoder ya DSTV? mimik huwa nalipia DSTV Compact plus lakini local channel ninayopata ni TBC1 pekee, na ki ukweli nimechoshwa na madudu ya TBC 1. Sasa kuna jamaa yuko maeneo ya Mikumi National Park, yeye aliniambia wao wana access local channels kama ITV na EATV kupitia decoder ya DSTV! Msaada kwa wanaofahamu please!