Njia nyingine ambayo ni nzuri kuliko zote lakini inahitaji gharama ni kununua "USB PRINT SERVER". D-Link wanayo inaitwa DP-301U USB PRINT SERVER, nafikiri ipo around Tshs 100,000-150,000 DSM. Hauhitaji printer yako iwe na RJ-45 port because hii inatumia USB port ya kawaida kama ya flash disk.
1. Just unaiconnect kwenye moja ya port za Router yako
2. Kumbuka kuifanya router yako iwe ina-assign IP address automatically (DHCP) ambayo nafikiri router nyingi za kisasa zinafanya hivyo by default.
3. Kama unatumia windows 7 "kama mimi" Click COMPUTER, then Click Network utaona ki-ICON chake kwenye sub-section ya OTHER DEVICES kimeandikwa PRINT SERVER PS-........
4. Double click hiki ki-icon itakufungulia Window yake
5. Utaona tabs nne juu click ile ya CONFIGURATIONS
6. Click network iliyoko pembeni kushoto mwa window hii.
7. kuna option 2 hapa either assign address automatically au manually tumia manually, then type IP address (e.g 192.168.1.30), subnet mask (e.g 255.255.255.0), default gateway (e.g 192.168.1.1) and DNS Server(s) hii itafute kwenye computer yako ambayo ina internet unapewa automatically na ISP.
8. Click apply to apply changes and you're done.
9. Computer nyingine zinabidi zi-add as a network printer or printer connected to another computer then tumia hii IP address kuadd kwenye hizo computer nyingine.
Hii iko poa mzee because hauhitaji kujua mac address ya printer yako na kwa zile printer.
Kuna mambo mengi unaweza ukafanya na hii kifaa kama vile kuangalia nani ameprint (computer name), mara ngapi ameprint etc
Kama ni mtu wa IT (GEEK) mkuu samahani huenda nitakuwa nimeenda mbali kuelekeza vitu basic sanaaa. Lakini huenda ikawa faida kwa wengine wasio au beginner.
Natanguliza shukrani.