Habari wana JF, Kwanza napenda kuwatakia sikukuu njema ya Eid Al Adha, Natumaini wote humu mnaendelea salama na mko tayari kujifunza maujanja haya.
Kwa kuanza naomba niombe radhi sana mara nyingi makala kutoka Tanzania Tech zinakuwa ndefu kidogo hivyo kwa kuokoa muda napenda kuweka video kwani huweza kumsaidia mtu kuelewa zaidi. Pia nashukuru kwa kupitia njia ya kushiriki na wengine channel yetu inapata views na napenda kuchukua nafasi hiyo kusema Asante kwa wanaotazama video zetu na pia Asante kwa uongozi wa JF na wataalam wote kwenye mtandao huu.
Hivyo basi baada ya kusema hayo ngoja twende kwenye somo la leo, Unaweza kuinstall window kwenye simu yako ya Android bila kuroot simu yako kwa urahisi sana na pia njia hii itakusaidia kuweza kuinstall windows XP, Windows 8, Windows 7 na Windows 10 njia hii ni rahisi sana guys na najua wengi wenu mtaweza kufanya. Lakini kama utakwama tuko hapa kukupa msaada.
LINK MAALUM
1. Maelezo Kamili Yanapatikana Hapa (Muhimu Sana Kusoma)
Jinsi ya Ku-install Windows 10, 8, 7 na XP Kwenye Simu ya Android
2. Download App ya Limbo Hapa
http://bit.ly/2qHsJwb
2. Windows XP Download Hapa
Windows for Android2.zip
3. Windows 10 x64 Download Hapa
MEGA
4. Windows 10 x86 Download Hapa
MEGA
5. Windows 8.1 Download Hapa
http://bit.ly/2pMpRhq
6. Windows 7 Download Hapa
MEGA