dadaangu
AshaDii na
sun wu, uliza kila mtu jukwaa hili, najitahidi kuwajibu watu kadri nnavyoweza ila watu wanachosha, ukizingatia jukwaa hili watu wanajitolea kusaidia watu, hakuna mtaalam kuliko mwingine,
mifano hai:
mtu anauliza kitu ambacho kimeulizwa zaidi ya mara kumi katika thread tofauti tofauti, au
chief-mkwawa uwa anajitahidi kuwaelekeza watu jinsi ya kutafuta thread kabla ya kuomba msaada lakini bado watu wataendelea kufanya yaleyale.
baadhi ya watu hufikia hatua hata ya kutoa maneno ya kukwaza wasipopata msaada wanaoutaka.
forum inakuwa hainogi kama kuna leechers wengi kuliko seeders
mfano wewe
AshaDii naamini sio mtaalam wa mambo haya ila unajua mpaka updates za instagram kuwa kuna instavideo, wikipedia ina mpaka version ya kiswahili, google ina translate kiswahili.
mzungu alisema ukitaka kumficha mtu mweusi weka vitu kwenye kitabu.
sikuwa na nia mbaya kwenye jibu langu lalabda nimekosea approach, najaribu kudiscourage watu kuuliza maswali ambayo mtu almost yoyote anaweza kujibu
halafu aliyeanzisha hii mada ajifunze kuandika title
news alert maana yake anataka kutupa habari mpya motomoto