[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! nimecheka mpaka watu hapa jirani wananishangaa
Baby Numbisa mambo Ni [emoji91]
Hii noma sana hhhhh dah bongo kuna vituko Sana lol
Mmh!!!
Mke wa nan huyu? Nisaidien kumtag mumewe
Mke wa nan huyu? Nisaidien kumtag mumewe ajue kama mke wake ndio ishamfika hapa...
Duh Kumbe hata wanawake wanatukanaga "****" kweli hicho kiungo sijui kikoje bora hata angesema we k nn
bora keshajikubali mwenywe
Hahah hawa watu wanavtuko duh