Instagram kuna mambo

Kijana boya....ni kweli Mbasha ni dume la mbegu toka mkoani....umeninukuu vibaya tu....nilikuwa nawazungumzia kina Ben Kinyaiya na shoga lake Martin bado Hajadinda. Siku zingine soma vizuri kabla ya kutuma ujumbe.
Umejuaje kama BADO HAJADINDA..?? Kusema kidume mwenzako bdo hajadinda unaleta mashaka kdg
 
Numbisa una kesi ya kujibu kwa shishiboy,sasa naye,hata kujitazama kwenye kioo kuona katokaje hakutaka.Sijui Uchebe aliogopa kumwambia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…