Habari Wa Jf. Mie Mpenzi sana Wa technologia. Sijisikii Vizuri pale kitu kinavyonipita bila Kukielewa. Katika Mtandao Wa instagram vidude nlivyoviattach vinapatikana Wapi ili kutia Mbwembwe kwenye text!
¶®€°°°$$$$$$€€°°° sample kama hivi...